Jamaa apigwa kofi na binti mbele ya umati baada ya kumposa
Kwa muda, wengi wamekuwa wakitumia hafla na maeneo ya umma yenye umati wa watu kuwaposa wapenzi wao, wakiwaomba kuwa wenzao katika ndoa.
Habari Nyingine: Talia Oyando ayaonyesha 'mapaja' yake miezi chache baada ya kazi ngumu
Kwa kawaida, wanawake hutii na kupokea pete kutoka kwa wenzao wa kiume kwani huonekana kutarajia hafla kama hiyo. Wengi hufurahi hadi kukosa kujizuia, umati ukiwashangilia ila kwa jamaa mmoja mambo yalimwendea kombo baada ya binti kuanza kumvamia.

Habari Nyingine: Vyakula 10 vinavyoongeza nguzu za ubongo na uwezo wa kukumbuka
Katika tukio hilo lililofanyika katika mji wa Lagos nchini Nigeria Jumapili, Julai 8, binti huyo alimnyeshea jamaa huyo makonde aliyekuwa amefika kwake akiwa na pete mkononi tayari kumposa.
Hii hapa video yenyewe.
Read ENGLISH VERSION
Una taarifa motomoto au sakata ambayo ungependa tuichapishe? Wasiliana nasi kwa news@tuko.co.ke, mwangi.muraguri@tuko.co.ke , kwenye WhatsApp: 0732482690 na kwenye Telegram: Tuko News
Subscribe to watch new videosChanzo: TUKO.co.ke
ncG1vNJzZmijmajEorTIpaBnrKWgvG%2BvzmeinmdibIZxg5NmoZqlkZZ6orzIoK6aZZuks6p5zZpkm6GeqbZuucGeo55lqZZ6trnAraBmmpGWsaJ52JpkpK2dpby0rY2hq6ak